Huyu ndo Demu anayemfanya Drake amsahau Rihanna kwa sasa!!
Wiki chache kwenye Show ya Drake vs Lil wayne mjini Texas Drakealipata muda wa kuzungumza kuhusiana Rihanna"Labda
ningezjua kuhusu ushenzi unaosemwa kumhusu mapema nisnge usikiliza watu
wanaosema tokea mwanzo,labda yangefanya mahusiano yangu na Rihanna
yakue"Drake alisema haya na watu wengi hawakutegemea kama angeyasema
haya.Usemi huu uliwafanya watuwengi waamini kwamba Drake ana hisia na
Rihanna
Chakushukuru ni Picha kadhaa alizoposti kwenye mtandao wa Instagram
zinazotufanya tuamini Drake is Over Rihanna,na pia ana demu mpya
anayeitwa Ura,ni muigizaji Model and Wait for it??stipper
kitukimoja tunacho kijua sasa nikuwa Dizzy anakuwa yuko bize akideal na mzigo wa binti huyu.
Maoni
Chapisha Maoni