DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!
Kufuatia
tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana
jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha
kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake,
Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au
mitatu.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu ndani ya jeshi la polisi, baada ya jeshi kutoa
tamko kuwa ni kinyume cha sheria, juzi Diamond alitakiwa kwenda
kujisalimisha polisi lakini hakufanya hivyo jambo lililosababisha
wenzake kukamatwa na kuwekwa nyuma ya nondo za mahabusu ya Oysterbay,
Kinondoni jijini Dar
Maoni
Chapisha Maoni