KUTANA NA; NICOLE FRANKLYN SARAKIKYA REDD'S MISS TANZANIA TALENT 2014 !
Nicole Franklyn Sarakikya ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014 alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3 kuingia Nusu Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji la miss talent.
Maoni
Chapisha Maoni