MASANJA AMZIDI UTAJIRI DIAMOND
Wadau, Hii kitu nimeisikia Clouds FM
kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga! Naomba kufahamu zaidi
huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi
kukuza
kipato chake ili vijana tujifunze kutoka kwa vijana wenzetu. Nilifahamu ana kipato kizuri lakini amekuaje kiasi cha kumzidi Diamond? Mungu amkbarikie zaidi Asante
kipato chake ili vijana tujifunze kutoka kwa vijana wenzetu. Nilifahamu ana kipato kizuri lakini amekuaje kiasi cha kumzidi Diamond? Mungu amkbarikie zaidi Asante
Maoni
Chapisha Maoni