KUTANA NA MWANAMKE WA AJABU,ANAZUNGUSHA MWILI KAMA KAMBA,ANAKULA KWA MIGUU,ANATEMBEA KWA MIKONO
Horizontal
Kwa jina unaweza muita Leilani Franco(Backbend) ana uraia wa nchi mbili (Uingereza /
Philippines) alisafiri katika nafasi umbali wa 20m katika muda wadk 10.05
katika tamasha la Royal Hall
mjini London Uingereza, tarehe 11 Machi 2013.
Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu.
Horizontal
Pia kama inavyodhaniwa kwa kawaida Mtu anaweza tumia mikono kwa kulia chakula na kufanya shughuli nyingine,
lakini
kwa mwanamke huyu imekuwa ni tofauti kabisa, Mwanamke huyu ana uwezo wa
kutumia miguu yake katika shughuli zake binafsi kama Kula na
kadhalika.....
Hatimaye, Leilani pia anashikilia rekodi ya Dunia kutokana na uwezo wake katika kuuzungusha Mwili wake.
Maoni
Chapisha Maoni