Wachungaji Kumi Matajiri Zaidi Duniani,Wakwanza Anatoka Africa

Uchunguzi uliofanywa na Richestlifestyle umegundua kuwa wachungaji matajiri zaidi wapo Nigeria. Uchunguzi huu umegundua kuwa wachungaji wa Nigeria wanautajiri mara mbili zaidi ya wachungaji wengine kwenye orodha ya wachungaji kumi matajiri zaidi duniani.

1) David Oyedepo – Net worth: $150 Million (Nigeria)

2) Chris Oyakhilome – Net worth: $50 Million (Nigeria)

3) Benny Hinn – Net worth: $42 Million (United States)

4) Creflo Dollar – Net worth: $27 Million (United States)

5) Billy Graham – Net worth: $25 Million (United States)

6) T. D. Jakes – Net worth: $18 Million (United States)

7) T.B. Joshua – Net worth: $15 Million (Nigeria)

8) Matthew Ashimolowo – Net worth: $10 Million (Nigeria)

9) Chris Okotie – Net worth: $10 Million (Nigeria)

10) Joseph Prince – Net worth: $5 Million (Singapore)

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA