Jamaa apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya MACHAFU baada ya kunaswa akiwa amevaa sare za jeshi ( JWTZ)
Picha unazoona sio utani wala sinema, ni raia wa kawaida akiogelea kwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi.
Raia
huyo alikutana na adhabu kali za mwanajeshi huyo baada ya kukutwa
amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es
Salaam.
Jamaa
huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha akaamriwa
kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari ..
Maoni
Chapisha Maoni