TAZAMA PICHA 5::HAWA NDI MABINTI WAZURIIII SANA AMBAO NI WATOTO WA MARAIS WA KENYA,UGANDA,RWANDA NA ZIMBABWE
SAFU
hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na
baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika
mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti
AngePaul Kagame Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa
mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo
kuliko wengine.
Faith
Sakwe Jonathan Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan.
Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na mitandao kwamba ni
mrembo.
Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni
binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii.
Amefunga ndoa hivi karibuni Sifa Joseph Kabila
Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.
Ngina
Uhuru Kenyatta Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa Kenya,
Uhuru Jomo Kenyatta. Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto, pia anaongoza
kwa kuwa na marafiki wengi wa kike.Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.
Maoni
Chapisha Maoni