Haki miliki ya picha Image caption Vikosi vya muungano vya Syria (SDF) vinavyoongozwa na wapiganaji wa Kikurdi vinasema majasusi waliiba nguo za ndani za Abu Bakr al-Baghdadi ambayo ilitumiwa kufanya uchunguzi wa chembe chembe za vinasaba, DNA kabla auawe. Kamanda wa mwandamizi wa SDF Polat Can anadai kuwa wapelelezi wao walichangia kwa kiasi kikubwa juhudi za kupata maficho ya kiongozi wa kundi la Islamic State (IS) kabla ya oparesheni ya vikosi maalum vya Marekani nchini Syria. Serikali ya Tanzania yalaumiwa kuhusu wakimbizi wa Burundi Asili ya binaadamu wa leo 'yagunduliwa Botswana' Rais mstaafu Kenya atibiwa hospitalini, sio mara ya kwanza Baghdadi alijilipua na kujiua mwenyewe wakati wa oparesheni ya kumsaka. Marekani imepuuza jukumu la vikosi vya Kikurdi katika oparesheni hiyo. Akizungumzia oparesheni hiyo Oktoba 27, Rais wa Marekani Donald Trump alisema vikosi hivyo "vilisaidia" kutoa habari lakini akaongeza hawakufanya ''jukumu lolote
Maoni
Chapisha Maoni