HATIMAYE LULU AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA MARTIN KADINDA!
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada.
Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiinjoi maisha yao kwa kushauriana masuala mbalimbali
ya kimaisha tofauti na wengine wanavyojiongeza.
ya kimaisha tofauti na wengine wanavyojiongeza.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.“Kadinda ni mtu
wangu wa nguvu hakuna kingine zaidi ya urafiki wa kawaida, manenomaneno
ni kawaida kwa wanadamu,” alisema Lulu.
Maoni
Chapisha Maoni