LADY JAYDEE AANZA KUMUIMBA MTALAKA WAKE
Mdau mmoja Huko Jamii Forums Amefunguka Hivi kuhusu Tangazo la Mgahawa Mpya wa MOG ambalo amelifanya Lady Jady linalorushwa Radio Mbali Mbali: “Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake
Maoni
Chapisha Maoni