HABARI ZAIDI ZA YULE MDADA ALIYEKUTWA MSUKULE NDANI YA SHIMO
Read article about Zile Picha za Mwanamke Aliyekutwa Shimoni Hakuwa Msukule, Ndugu Wamesimulia..
D Salma Issa kwann unadai kuwa yule mwanamke sio msukule itabid nawe uchunguzwe kwann udai kuwa sio msukule
Juliana Charles Ok kaka story ikoje? Maana kila mtu anaongea yake....
Ibrahim Abbul D Salma Issa..Mimi
niliipost kama nilivyo ikuta huko..kwahiyo kadri mwendelezo Wa hii
story ilipofikia Huyo Dada anaedaiwa kuwa nimsukule kumbe
sio,,,,,nataarifa zilizopatikana Leo huyo Dada ameshapatina na yupo
mikononi mwandugu zake...kwahiyo nijambo lakumshukuru Mungu..sana..ila
lawama ziende kwa jeshi lapolisi kumtoa uchi wamnyama Dada wawatu toka
pale shimoni mpaka kituo chapolisi nakusema kwamba alitoweka.....
Ibrahim Abbul Juliana Charles...kama ungesikiliza kipindi cha Leo Tena..cha claudz FM..Geah Habib..alikuwa
anazungumza na mama na Dada take na mhusika...maana baadhi yandugu
walikuwa wanamtuhumu mama yake mzazi ati kuwa yeye anahusika....kumbe
UkWeli wamambo sio...yeye mwenyewe huko nyuma alishawahi kuumwa ugonjwa
Wa akili...upon..@juliana !!!...na amesha patikana story yote kesho
nitaiweka Hapa..kila kitu kitakuwa wazi..
Juliana Charles Sipo
tz kaka İbrahim nipo botswana ila nafatilia hii story kutoka kwako na
watu wengine, so bro natamani kujua ukweli maana kila mtu anaongea yake
Ibrahim Abbul Asante..Juliana Charles..Mimi
mwenyewe sipo huko nyumbani Tanzania,nipo Blantyre Malawi......so..hivi
tunavyoongea ameshapatikana na amepatikana huko Tabata Liwiti...nanguo
amesha vaa ...mfollow Geahabib kwenye instagram sasa hivi amepost mpaka
picha yake ...saws Dada Yangu........now@insta...
Maoni
Chapisha Maoni