Ni ipi sayari yenye mbalamwezi nyingi zaidi kati ya Jupita na Satani?


SaturnHaki miliki ya pichaNASA/JPL-CALTECH/SPACE SCIENCE INSTITUTE
Image captionSaturn ni mfalme mpya wa mbalamwezi
Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika nchini Marekani, sayari ya Satani imeipiku sayari ya Jupita kuwa mbalamwezi nyingi.
Watafiti hao wamebaini kuwa na mizunguko mipya 20 katika mwezi ambao imezunguka ulimwengu na kufikia idadi ya 82, hii ni utofauti na Jupita ambayo ina satelaiti 79 za asili.
Miezi hiyo ilibainika kwa darubini ya subaru katika Hawaii.
Kila kitu kipya kilichogunduliwa katika mzunguko wa Satani ni kama km.5 , 17 kati yao zinazunguka sayari ya dunia kinyume.
Hii inajulikana kama mzunguko wa kinyume.
Mizunguko mingine mitatu ya mwezi huwa ni kawaida kama satani.
Mizunguko miwili ya karibu huwa inachukua miaka miwili.
Huku mizunguko ya mbali huwa inachukua miaka mitatu au zaidi kumaliza mzunguko.
Saturn moonsHaki miliki ya pichaCARNEGIE INSTITUTION FOR SCIENCE
"Utafiti wa mzunguko wa mwezi unaweza kuonyesha asili yake, pamoja na taarifa kuhusu mazingira yanayoizunguka Satani katika mzunguko wake", alisema Dkt. Scott Sheppard, kutoka chuo cha sayansi cha Carnegie kilichopo Washington DC, kiongozi wa kikosi.
Dkt. Sheppard aliiambia BBC kuwa Jupita ndio sayari ilijulikana kuwa karibu zaidi na mwezi tangu mwishoni mwa mwaka 1990.
Wanasayansi wanadhani kuwa mizunguko ya mbali na karibu ya mwezi inaweza kugawanyika mara tatu.
Vitu hivi vikubwa huvutwa na mgongano kati ya mwezi katika mzunguko.
Presentational grey line
Uvumbuzi mpya wa mzunguko wa sayari unajulikana kama satelaiti ya Satani.
"Mbalamwezi inayozungukwa na Satani iko mbali kidogo, hivyo hatuwezi kufikiria kuwa zimeundwa na sayari, ila tunadhani kuwa ilitengenezwa na sayari miaka ya nyuma. Kama sayari ikipita leo huwezi kupata kumbukumbu leo kwa sababu nguvu iliyotumika inaweza kuonekana baada ya muda," Dkt Sheppard aliiambia BBC News.
Hata hivyo mfumo wa sola , unaonyesha kuwa wakati Satani ilipokuwa inaunda mawingu au vumbi na gesi inayoizunguka dunia.
Hii inaweza kuipa nguvu sayari hiyo.
Lakini mara nyingi, vitu hivi huwa vinabaki katika sayari na kuwa sehemu ya sayari.
Subaru telescopeHaki miliki ya pichaSPL
Image captionUtafiti uliopelekewa kwa uvumbuzi uliofanywa na darubini.
"Tunadhani kuwa mbalamwezi ina uhusiano na gesi na vumbi," alielezea Dkt Sheppard.
"Mizunguko mingi katika sayari huwa inasaidiwa na sayari yenyewe.
Hivyo zilionekana katika mzunguko kuzunguka katika sayari tofauti na kuanguka ndani ya sayari. Tunadhani kuwa mizunguko hii ya mwisho ndio ilifanya Satani kuwa karibu."
Matokeo ya utafiti huo ,takwimu zake zilikusanywa kati ya mwaka 2004 na 2007 kwa kutumia darubini ya Subaru.
Takwimu hizo zimeweza kubainisha utofauti wa takwimu mpya na za zamani.
"Tulidhani kuwa zilikuwa mbalamwezi za satani lakini hatukuweza kubaini mizunguko yote," alisema Dkt.Sheppard.
" Kwa kutumia utaalamu mpya wa nguvu katika komputa, mizunguko hiyo 20 tumeihusisha na mizunguko katika mwezi."

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA