KWA MWENDO HUU CHINA IMEFUNIKA HAISHIKIKI! TAZAMA HII VIDEO.

Safari ya ndege ya shirika la American Airlines toka Dallas Marekani mpaka Hong kong Uchina ni km 13700, safari ambayo hutumia masaa kumi na sita na dakika kumi na tano (16 na dakika 15) sasa kwa ndege hizi wanazounda watatumia masaa mawili (02) pekee. wanasema sema hivi zina speed kubwa ajabu kuliko mwangwi wa sauti wanaita zina speed ya hypersonic ni technologia ambayo kamwe hakuna nchi ambayo imewahi hata iwazia. Sasa Uchina wamewazia na tayari ndege hizo zimeanza kutengenezwa. Zina muundo kama ndege fulani za zamani ziliwahi tumika kwenye vita vya pili vya dunia, zimechongoka hatari. Angalia hiyo move mwanzo mwisho ujionee kisha like.
Image by Guiji la habari.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA