Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2014

LADY JAYDEE AANZA KUMUIMBA MTALAKA WAKE

Picha
Mdau mmoja Huko Jamii Forums Amefunguka Hivi kuhusu Tangazo la Mgahawa Mpya wa MOG ambalo amelifanya Lady Jady linalorushwa Radio Mbali Mbali: “Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake

INASIKITISHA LAKINI INAFUNDISHA PIA, KUTANA NA MTU HUYU ALIYEZALIWA KICHWA CHAKE KIKIWA MGONGONI

Picha
A man born with physical disabilities so severe his head is Upside-down has defied the odds to become an inspirational public speaker. Claudio Vieira de Oliveira, 37, was born with his neck folded back on itself, as well as badly deformed legs and almost no use of his arms and hands. Doctors told his mother to stop feeding him as a newborn as they believed he had no chance of survival. But Claudio from Monte Santo, Brazil, has overcome his extreme disadvantages to graduate as an accountant and become a public speaker.

BREAKING NEWZZZ.....TRENI YAPATA AJALI MAENEO YA VINGUNGUTI

Picha
CHANZO NI KUKATIKA KWA PINI LOCK AMBAYO IKASABABISHA JANGA HILO.                       Ajali hii imetokea muda si mrefu maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam - Treni hii ilibeba makontena ya Azam na Mohamed Enterprises

MAKUBWA NA MAZITO HAYA: ROSE MUHANDO ADAIWA KUBWIA UNGA!

Picha
Nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando. Kwa mujibu wa vyanzo, Rose anadaiwa kutumia unga kiasi kwamba, baada ya matumizi hujikuta akishindwa kufanya jambo lolote lile la kujitafutia mkate wake wa kila siku na ndiyo maana amekuwa akikwaa skendo za kupokea fedha za shoo halafu hatokei tu!  HUKU mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii, nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando bado anaandamwa na madai mazito kwamba anatumia madawa ya kulevya ‘unga’ yanayomfanya kuwa hoi kiasi cha kushindwa kutokea kwenye matamasha mbalimbali anayolipwa fedha, Risasi Jumatano linateremka nayo.  WATOA MADAI Hivi karibuni, akina mama watatu walifika kwenye Ofisi za Global Publisheers na kumtolea madai Rose kuhusu tuhuma zanazomwandama kwamba amekuwa akiingia mitini na fedha za watu wanaomwita kwenye matamasha ya nyimbo za Injili. “Sisi tunavyojua, Rose anatumia madawa, wengine wanasema unga wengine wanasema sijui nini huko. Sasa akishatumi...

JACQUELINE WOLPER AFYATA MKIA...AMWANGUKIA YULE PEDESHEE WA KIKONGO!

Picha
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe. Kikizungumza na Risasi Mchanganyiko, chanzo makini kilidai kwamba baada ya gazeti ndugu na hili kuripoti habari ya Wolper kumchana Mkongo huyo huku akidai hana hadhi ya kuwa naye, wiki iliyopita alionekana kwenye Hoteli ya Double Treeiliyopo Masaki jijini Dar ambako ndipo alipofikia mwanaume huyo. Kiliendelea kueleza kwamba mwanadada huyo alifika hotelini hapo kwa ajili ya kumuomba msamaha Mkongo na alikuwa akifanya jitihada kubwa ili asamehewe kwa kumtumia mwanamuziki wa FM Academia, raia wa Kongo, Patcho Mwamba amuombee msamaha. BAADA ya hivi karibuni kumchana laivu Mkurugenzi wa Mwami Foundation, raia wa Kongo, Mwami Rajabu, staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kumwangukia jamaa huyo na kumuomba msamaha.  “Nimemuona Wolper akiwa na huyo Mkongo kwenye hoteli hiyo aliyofikia ambapo kilichompeleka ni kuomba msamaha kutokana na maneno aliyozungumza kwenye gazeti,” kilisema...

VIDEO: BALAA LA MAUNO VIUNO VYA MISS TANZANIA 2014 AKIWA NDANI YA CLUB YA USIKU!

Picha
VIDEO: BALAA LA MAUNO VIUNO VYA MISS TANZANIA 2014 AKIWA NDANI YA CLUB YA USIKU! BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO YAKE>>>

NI SHIDAA! Exclusiveee....HILI NDO GARI JIPYA LA KIFAHARI LA LULU MICHAEL ..JEURI YA PESAAA HIYO

Picha

Ndoa ya Lady Jay Dee Sasa Basi Huu Ndio uthibitisho Kamili

Picha
Huku wakiendelea kugoma kuwa wameachana siri ya ndani ambayo inazidi kufumuka kwa mastaa wawili ambao wemetengana kinyumba ambao ni mwanamuziki Judith Wambura’Lady Jay Dee’na mtandazaji kiwango Gardner G Habash. Taarifa za hivi zinaeleza kuwa Jaydee ameanza kumfuta Gardner kwenye urithi wa mali mbalimbali ili baadae wasije kuleteana shida kwenye mgao. Chanzo cha ndani kinasema kuwa tayari Jaydee ameshauza nyumba moja huko kimara na ula mgahawa wa Nyumbani Lounge ambao aliutangaza kuufunga sasa anaufungua kwa jina la Mog Bar& Reutsaurant “Kiukweli ni kwamba hawa jamaawameachana rasmi ila hawataki hili lijulikane kwa upande wa Lady Jaydee ameanza kulihakiki mali zote walizokuwa wakishea na Gadner kwa ajili ya kuzipa umiliki wake,tayari nyumba moja wameshauza na sasa amekodi upya ule mgahawa wa Nyumbani Lounge na utaanza kazi rasmi” chanzo hicho. na kwa upande mwingine ladyjaydee amem...

MISS JELA"" KWA WAFUNGWA WANAWAKE HUKO BRAZILI..

Picha
12:00 AM     No comments HAYA ni mashindano ya urembo yanayofanyika kila mwaka katika moja ya gereza la wafungwa huko nchini Brazil, waliyoanzisha mashindano haya wanasema wanawapa haki wafungwa nao wajisikie kama binadamu na si kama wanyama kwani muda mwingi wanakuwa wanafanya kazi kwahiyo inakuwa sio mbaya kuwapa muda kidogo wajifurahishe katika mioyo yao na sio muda wote waonekane watumwa wa kazi. Mshindi wa taji hilo anapewa uangalizi na zawazi za kutosha kutoka kwa waandaaji wa shindano hilo. Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

MWANAMKE HUYU WA AJABU DUNIANI.STORY

Picha
ANAITWA Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani, amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo  kubwa zaidi sehemu ya makalio. Sarah ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya kukikalia, ana mzunguko wa futi 7 ambapo mara kadhaa amekuwa akipata shida kupita mlangoni

DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!

Picha
Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake, Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au mitatu.   Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani. Kwa mujibu wa chanzo chetu ndani ya jeshi la polisi, baada ya jeshi kutoa tamko kuwa ni kinyume cha sheria, juzi Diamond alitakiwa kwenda kujisalimisha polisi lakini hakufanya hivyo jambo lililosababisha wenzake kukamatwa na kuwekwa nyuma ya nondo za mahabusu ya Oysterbay, Kinondoni jijini Dar

HOFU YATANDA,MSHITUKO WA VIFO VYA WASANII... NDANI YA MASAA 24 WAFARIKI DUNIA WANNE

Picha
Misiba kila kona! Achilia mbali watu wasiokuwa na majina hasa vijana wadogo, ndani ya saa 24 wamefariki dunia wasanii wanne wa kutoka kwenye tasnia za Bongo Movies na Bongo Fleva, Amani lina habari yenye kuumiza moyo. Benson Okumu, enzi za uhai wake akiwa na mtoto wa marehemu George Okumu Otieno ‘Tyson’ , Sonia. HAWA HAPA Matukio hayo yalitokea kati ya Jumatatu jioni na Jumanne asubuhi ambapo kutoka kwenye tasnia ya filamu waliotangulia mbele ya haki ni pamoja na Sherry Salum ‘Sheri Magali’, Arafa na Benson Okumu Otieno. Kwa upande wa Bongo Fleva, Yessaya Ambikile ‘YP’, naye alitangulia mbele ya haki ikiwa ni siku chache tu alionekana kwenye kumbi mbalimbali jijini Dar.  ALIANZA MDOGO TYSON Jumanne jioni, gazeti hili lilipokea kwa masikitiko kifo cha mdogo wa marehemu George Okumu Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno ‘Benii’ ambaye alifariki dunia baada ya kupata homa kali na kuchanganyikiwa.

WEMA AZUA KIZAAZAA GEREZANI CHINA

Picha
KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani nchini China. Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye gereza lililopo Mji wa Macau ambapo Wema aliambatana na meneja wake, Martin Kadinda pamoja na shemeji yake, Petit Man.   Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na meneja wake, Martin Kadinda. Chanzo kilicho karibu na Wema kimeeleza kuwa, Wema alipofika na kuona mazingira ya upweke ambayo Jack anaishi, aliwaza kwa muda na kuzungumza maneno kama mtu aliyechanganyikiwa hivyo kuwatia hofu Martin na Petit

HUDDAH ATAMKA KUMZIMIA ALI KIBA……DAH USANII MZURI JAMANI

Picha
Udaku kutoka INSTAGRAM: Huddah Monroe Wa Kenya elezea hisia zake kuhusu …. Ali Kiba..Eti Anasauti Ya Kumtoa …Pangoni….Soma alivyoandika..Then Niambie Ungekuwa Wewe Ndio Alikiba Unge Mfanyanini Huyu!!!!

ANGALIA PICHA WANAJESHI WA CHINA NA TANZANIA WAFANYA MAZOEZI YA PAMOJA

Picha
Askari wa majini wa Tanzania na China, wakiwasubiri maelekezo mwanzoni mwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi kwenye komandi kuu ya wanamaji wa JWTZ, Kigamboni jijini Dar es Salaam, Jumanne Oktoba 21, 2014 Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa JWTZ, Meje Jenerali James Mwakibolwa, (Kulia) na Meja Jenerali Wu Xiao Yi wa jeshi la wanamaji la China, wakibadilishana hati za makubaliano ya mafunzo ya pamoja ya Surpassing 2014 n Mwnajeshi wa kikosi maalum cha wanamaji kuitoka jeshi la China, akionyesha matumizi ya mikono dhidi ya adui, wakati wa uzinduzi wa mazoezi ya kijeshi ya pamoja kati ya Wanamaji wa China na Tanzania kwenye kamandi kuu ya kikosi cha wanamaji, Kigamboni jijini Dar es Salaam, Jumanne Oktoba 21, 2014. Mazoezi hayo yaliyopewa jina "Surpassing 2014" yalianza kwa maonyesho ya matumizi ya mikono katika kupambana na adui pamoja n...