MWILI WA MAMA YAKE ZITTO, BI. SHIDA SALUM WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kuuaga mwili wa mama yake kipenzi Bi. Shida Salum aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.

Waheshimiwa wabunge na baadhi ya viongozi wakibeba jeneza lililobeba mwili wa marehemu mama yake Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum kuingiza kwenye ndege tayari kwa safari ya kwenda Kigoma kwenye mazishi.…
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kuuaga mwili wa mama yake kipenzi Bi. Shida Salum aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.
Waheshimiwa wabunge na baadhi ya viongozi wakibeba jeneza lililobeba mwili wa marehemu mama yake Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum kuingiza kwenye ndege tayari kwa safari ya kwenda Kigoma kwenye mazishi.
Ndege ikiandaliwa ili kuweza kuingiza mwili wa marehemu mama yake Zitto Kabwe.
Prof. Ibrahim Lipumba akijadili jambo na mwenzie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma kwenye maziko.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SASA HII NI NGONO BONGO MUVI.... Video ya Irine Uwoya na Rich wakifanya YAO..LIVE

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

BEIJING DAXING: UWANJA MKUBWA WA KIMATAIFA WA NDEGE CHINA WAFUNGULIWA, HATARIIII!