CHEZEA MAPENZI WEW! SIKIA YA SALAMA

HAPANA CHEZEA MAPENZI WEWE...!SALAMA JABIR KUMBE YUPO HIVI KWA MALOVEE BANA...!



Oooh Salama amekaa kidumedume nani kasema, ebwana kumbe umzaniaye sie bhana, mtangazaji maarufu wa kipindi cha mkasi Salama Jabir hii leo kaonyesha kumbe ana hisia za kimapenzi,
Salama alidhihirisha wazi kumzimia mchezaji maarufu wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Karim Benzema...

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA