CLOUD AWACHANA WASANII WANAOLIA KINAFIKI MISIBANI


Stori: Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Issa Musa ‘Cloud’ hivi karibuni aliwachana wasanii wa kike na kuwataka kuachana na tabia ya kulia na kuzimia kinafiki kwenye misiba kwani wanaonesha picha mbaya katika jamii.
Wasanii wa Bongo Muvi na wadau mbalimbali wakiomboleza kifo cha Msanii mwenzao Recho.
Akizungumza siku moja kabla ya mazishi ya aliyekuwa msanii wa filamu, Sheila Haule ‘Recho’, Cloud alisema baadhi ya wasanii wa kike wamekuwa na tabia ya kulia kinafiki…
Stori: Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Issa Musa ‘Cloud’ hivi karibuni aliwachana wasanii wa kike na kuwataka kuachana na tabia ya kulia na kuzimia kinafiki kwenye misiba kwani wanaonesha picha mbaya katika jamii.
Wasanii wa Bongo Muvi na wadau mbalimbali wakiomboleza kifo cha Msanii mwenzao Recho.
Akizungumza siku moja kabla ya mazishi ya aliyekuwa msanii wa filamu, Sheila Haule ‘Recho’, Cloud alisema baadhi ya wasanii wa kike wamekuwa na tabia ya kulia kinafiki kwenye misiba.
“Sitaki kwenye mazishi ya Recho kumuona msanii yoyote akijiangusha baada ya kuona kamera za waandishi eti wamezimia jamani tuwe wastaarabu na kama ukilia uwe unaumia kweli lakini siyo kinafiki kwani wasanii wa kike wamekuwa na tabia ya kujiangusha huku wakiwaomba marafiki zao wawaangalizie simu zao,” alisema Cloud.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SASA HII NI NGONO BONGO MUVI.... Video ya Irine Uwoya na Rich wakifanya YAO..LIVE

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

BEIJING DAXING: UWANJA MKUBWA WA KIMATAIFA WA NDEGE CHINA WAFUNGULIWA, HATARIIII!