MAKAMUA: WAKALI KWANZA LIMEBAKI JINA TU
WAKALI kwanza ni moja kati ya makundi ambayo yalitikisa sana katika muziki wa Bongo Fleva mwaka 2006-2009. Kundi hili lilibebwa na vichwa vyenye madini, Josline, Makamua na Q-Jay.
Mashabiki wengi walipenda nyimbo zao na miongoni mwa wimbo ambao ulitikisa sana ni pamoja na ule wa Natamani.
Makamua, mmoja kati ya vichwa vilivyokuwa vikiunda kundi hili juzikati alifanya mahojiano na Global TV Online, amewakumbushia vitu vingi, tujiunge naye:…
Maoni
Chapisha Maoni