WAZIRI WA ZAMANI WA UTALII ATOA KAULI HII MARA BAADA YA WIZARA YAKE KUPEWA PRO MAGHEMBE,ONA HAPA LIVEE




Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne,Mhe Lazaro Nyalandu amefunguka na kumtikia kila la kheri mrithi wake katika nafasi hiyo Pro Jumanne Maghembe ambaye ameteuliwa jana na Rais Dr Magufuli kushika wadhifa huo.

Katika pongezi zake ambazo amezitoa kupitia ukurasa wake rasmi wa twitter,Mhe Nyalandu ambaye ni mbunge ,amesema kuwa anamtakia Pro Maghembe utumishi mwema katika Wizara hiyo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.