Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2019

BE PATIENT

Picha
Be Patient and Trust the Process! 👇🏽 An elephant and a dog became pregnant at same time. Three months down the line the dog gave birth to six puppies. Six months later the dog was pregnant again, and nine months on it gave birth to another dozen puppies. The pattern continued. On the eighteenth month the dog approached the elephant questioning, _"Are you sure that you are pregnant? We became pregnant on the same date, I have given birth three times to a dozen puppies and they are now grown to become big dogs, yet you are still pregnant. Whats going on?". The elephant replied, _"There is something I want you to understand. What I am carrying is not a puppy but an elephant. I only give birth to one in two years. When my baby hits the ground, the earth feels it. When my baby crosses the road, human beings stop and watch in admiration, what I carry draws attention. So what I'm carrying is mighty and great.". Don't lose faith when you see others a...

Ni kwanini Kanisa katoliki limewaruhusu wanaume waliooa kuwa mapadri?

Picha
Maaskofu wa kanisa katoliki wamepiga kura kuruhusu wanaume waliooa kuwa mapadri katika eneo moja la pembezoni ili kuweza kupata mwanya wa kuhubiri katika eneo la Amazon. Hatua hiyo imekuja mara baada ya Papa Francis kutoa ombi kuwa ni vyema kutoa ruhusa kwa wanaume walioa kuwa mapadri kwenye sehemu maalum katika eneo hilola Amazon. Eneo ambalo waumini wengi wanaotaka kushiriki misa na kupokea mkate wa komunio hawaonagi mapadri kwa zaidi ya miezi kadhaa na muda mwingine hata miaka. Nguo ya ndani 'ilivyomtambulisha' kiongozi wa IS al-Baghdadi Rwanda yazindua magari yanayotumia umeme Serikali ya Tanzania yalaumiwa kuhusu wakimbizi wa Burundi Asili ya binaadamu wa leo 'yagunduliwa Botswana' Amesema yeye na washiriki wengine wanaojulikana kama 'synod' wapo wazi kwa mawazo ya kutafuta njia mpya itakayosaidia kusambaza imani hiyo. Watahitajika kupata wanaume wanaoheshimika na kulingana na stakhabadhi hizo watafanya kazi katika jamii wanazotoka. Maa...

Rwanda yazindua magari rafiki kwa mazingira

Picha
Rwanda ikishirikiana na kampuni ya Volkswagen na Siemens imezindua magari ya kwanza ya umeme nchini humo yatakayokuwa rafiki kwa mazingira . Mradi huo ulioanza na magari 50 ambayo yametengenezwa kwa ajili ya majaribio hivyo yatakuwa yakitumiwa kama magari ya uchukuzi wa abiria jijini Kigali na kwingineko nchini humo. Mkurugenzi mkuu wa Volkswagen Group ya Afrika kusini, Thomas Schäfer amebainisha kuwa magari haya yamo bado katika majaribio na kwamba yametengenezwa 40 aina ya e.Golf na kwamba malengo kwanza si kuuzwa ghali ingawa bei bado haijatangazwa. ''Magari haya hayana mpango wa kuuzwa kwa wateja kwa sasa. Tunalenga kwanza kuyafanyia majaribio na kujua yanafanya kazi vipi na ndipo tutakapowajulisha iwapo zitauzwa au la. Magari haya ni ghali ikilinganishwa na yale ya kawaida, kutokana na betri yake. Asili ya binaadamu wa leo 'yagunduliwa Botswana' Ununuzi wa ndege wazua mjadala kuhusu vipaumbele vya serikali Betri peke yake ina gharimu kiasi cha dola ...

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

Picha
Haki miliki ya picha Image caption Vikosi vya muungano vya Syria (SDF) vinavyoongozwa na wapiganaji wa Kikurdi vinasema majasusi waliiba nguo za ndani za Abu Bakr al-Baghdadi ambayo ilitumiwa kufanya uchunguzi wa chembe chembe za vinasaba, DNA kabla auawe. Kamanda wa mwandamizi wa SDF Polat Can anadai kuwa wapelelezi wao walichangia kwa kiasi kikubwa juhudi za kupata maficho ya kiongozi wa kundi la Islamic State (IS) kabla ya oparesheni ya vikosi maalum vya Marekani nchini Syria. Serikali ya Tanzania yalaumiwa kuhusu wakimbizi wa Burundi Asili ya binaadamu wa leo 'yagunduliwa Botswana' Rais mstaafu Kenya atibiwa hospitalini, sio mara ya kwanza Baghdadi alijilipua na kujiua mwenyewe wakati wa oparesheni ya kumsaka. Marekani imepuuza jukumu la vikosi vya Kikurdi katika oparesheni hiyo. Akizungumzia oparesheni hiyo Oktoba 27, Rais wa Marekani Donald Trump alisema vikosi hivyo "vilisaidia" kutoa habari lakini akaongeza hawakufanya ''jukumu lolote ...

Uganda: Wamiliki wa hoteli kuwasilisha taarifa za wateja polisi

Picha
Haki miliki ya picha Image caption Polisi nchini Uganda imetoa sera mpya ya usalama ambayo italazimu wamiliki na mameneja wa hoteli, vyumba vya wageni na maeneo mengine ya kulala kujulisha serikali kuhusu wageni wote ambao wanatumia maeneo yao. Kulingana na sera hiyo mpya, orodha ya watu ambao wamelala kwenye hoteli yoyote, sasa itahitajika kupelekwa kwenye kituo cha polisi kilicho karibu kila asubuhi. Ni kwanini Tanzania inalaumiwa kwa ukandamizaji? 'Marubani watumia kamera iliyofichwa chooni kuwachungulia abiria' Jinsi Abu Bakr al-Baghdadi alivyouawa Asan Kasingye, afisa mwandamizi wa polisi anayesimamia polisi ya kijamii anasema orodha hizo zitawasaidia kujua kila anayeingia kwenye maeneo tofauti. ''Tunaamua kuandikisha kila mtu kwenye maeneo tofauti. Hata pia wale ambao wanalala na kutumia hoteli. Mamaneja wa hoteli hizi wanafaa kuandikisha watu wote na halafu watupe orodha hizi ili tuzitumie kwenye masuala ya usalama ," Kasingye alisema. Kab...

Marubani wa Southwest Airlines: Walikuwa wakichukua filamu za moja kwa moja kutoka katika choo cha ndege hiyo

Picha
Haki miliki ya picha Image caption Mfanyakazi wa kampuni ya ndege ya Southwest Airlines amewasilisha kesi mahakamani akiwashutumu marubani wawili kwa kuficha kamera katika choo cha ndege hiyo na kuwachukua picha za moja kwa moja abiria ambao walikuwa wakienda kujisaidia. Renee Steinaker anadai kwamba aliwapata marubani hao wakati wa safari ya ndege ya mwaka 2017 kutoka Pittsburgh hadi Phoenix. Rubani Terry Graham alimtaka kukaa katika chumba cha rubani na rubani mwenza Ryan Rusell, wakati alipotumia choo hicho, mashtaka hayo yanasema. Jinsi Abu Bakr al-Baghdadi alivyouawa Je ni kweli supu ya Pweza ni zaidi ya supu ya kawaida? 'Selfie iliyombaini mtoto aliyeibiwa' Rubani na kampuni ya ndege ya South West Arlines wamekana kwamba kulikuwa na kamera iliyokuwa ikiwachukua abiria na wafanyakazi waliokwenda msalani. Kampuni hiyo imesema kwamba kisa hicho kilikuwa cha kushangaza. Bi Steinaker anadai kwamba bwana Russell alimuonya kutosema kitu kuhusu kamera hiyo amba...