HIVI HAPA VYUO VIKUU BORA ZAIDI DUNIANI MWAKA 2017

Vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017 Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Orodha mpya ya kila mwaka ya vyuo vikuu bora zaidi duniani imetangazwa, ambapo chuo kikuu cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) cha Marekani bado kinaongoza. Vyuo vikuu vya Stanford na Harvard - pia kutoka Marekani - kadhalika vimeendelea kushikilia nafasi ya pili na ya tatu mtawalia. Orodha hiyo ilishirikisha vyuo vikuu karibu 1,000. Facebook kuwa somo chuo kikuu India Vyuo vikuu hupimwa kwa mambo kama vile majarida na vitabu vya kisomi vilivyochapishwa, makala zilizonukuliwa, maoni ya wasomi pamoja na waajiri na pia ushiriki wa vyuo vikuu hivyo katika ngazi ya kimataifa. Chuo kikuu cha Nairobi kimeorodheshwa kuwa kati ya nambari 801 na nambari 1000, kutoka kuanzia nambari 701 hadi 1000mwaka jana, sawa na Chuo Kikuu cha Makerere. Vyuo vikuu 10 bora zaidi duniani kwa mujibu wa QS World University Rankings Massachusetts Institute of Technology (MIT) Stanford Harvard California Institute of Technology (Caltech) Cambridge Oxford University College London Imperial College London Chicago ETH Zurich Haki miliki ya picha University of Reading Image caption Chuo Kikuu cha Reading kinapatikana katika 200 bora katika orodha hiyo Cambridge, Oxford, University College London na Imperial College London ndivyo vyuo vikuu pekee kutoka Uingereza ambavyo vimo kwenye kumi bora. Kuna vyuo vikuu 76 vya Uingereza katika orodha hiyo ya vyuo vikuu bora, lakini waandalizi wa orodha hiyo wanasema vyuo 51 kati ya hivyo vimeshuka ukilinganisha na nafasi ya mwaka jana. Vyuo Vikuu 50bora zaidi duniani kwa mujibu waQS World University Rankings 1 Massachusetts Institute of Technology (MIT) 2 Stanford University 3 Harvard University 4 California Institute of Technology (Caltech) 5 University of Cambridge 6 University of Oxford 7 UCL (University College London) 8 Imperial College London 9 University of Chicago 10 ETH Zurich - Swiss Federal Institute of Technology 11 Nanyang Technological University, Singapore (NTU) 12 Ecole Polytechnique Fédérale de Lausanne (EPFL) 13 Princeton University 14 Cornell University 15 National University of Singapore (NUS) 16 Yale University 17 Johns Hopkins University 18 Columbia University 19 University of Pennsylvania 20 The Australian National University =21 Duke University =21 University of Michigan =23 King's College London =23 The University of Edinburgh 25 Tsinghua University 26 The University of Hong Kong 27 University of California, Berkeley (UCB) =28 Northwestern University =28 The University of Tokyo 30 The Hong Kong University of Science and Technology 31 University of Toronto 32 McGill University 33 University of California, Los Angeles (UCLA) 34 The University of Manchester 35 London School of Economics and Political Science (LSE) =36 Kyoto University =36 Seoul National University =38 Peking University =38 University of California, San Diego (UCSD) 40 Fudan University =41 The University of Melbourne =41 KAIST - Korea Advanced Institute of Science & Technology 43 Ecole normale supérieure, Paris 44 University of Bristol 45 The University of New South Wales (UNSW Sydney) 46 The Chinese University of Hong Kong (CUHK) =47 Carnegie Mellon University =47 The University of Queensland 49 City University of Hong Kong 50 The University of Sydney Shule za Uganda kupewa kitabu cha Museveni Wanafunzi 8,000 vyuoni Tanzania hawafai Inakadiriwa kwamba kwa jumla kuna vyuo vikuu kati ya 20,000 na 26,000 kote duniani.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.