Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WAZIRI CONGO AFUKUZWA BAADA YA KUPIGA PUNYETO (MASTURBATION) AKIWA OFISINI KWAKE!

:

Waziri Congo afukuzwa baada ya kupiga punyeto (masturbate) akiwa ofisini.

0


Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila amemfukuza kazi Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano baada ya ku-masturbate akiwa ofisini.
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Enock Ruberangabo Sebineza amefukwazwa kazi na Rais Kabila baada ya video yake aki-masturbate kuenea sana kwenye mitandao ya kijamii.
Sibineza alifanya kitendo hicho akiwa ofisini kwake na Camera zilizokuwa zimefungwa ofisini humo kwa madhumuni ya ulinzi ndizo zilizomnasa.
Video yake yenye urefu wa dakika 4:27 inaonyesha jinsi Naibu Waziri huyo alipoanza kitendo hicho akiwa ofisini kwake nyuma yake kukiwa na picha ya Rais wa Congo Joseph Kabila na bendera ya nchi hiyo. Watu wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na kitendo hicho wengine wakisema kuwa ni kiwango cha juu sana cha kashfa kwani ni aibu mtu mzima kama yeye kufanya kitendo kile.
13
Rais Kabila alisema kuwa Naibu Waziri huyo amevunja maadili ya utumishi wa Serikali na ndio maana amelazimika kumuondoa mara moja

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.