HAKIKA HIVI NDO VITUKO VILIVYO TOKEA MBEYA LEO HII KWENYE MAPOKEZI YA LOWASA...HADI KONDOO KAVAA UKAWA

IMG_4263
Ratiba iliyotolewa na CHADEMA kuhusu safari ya Mgombea Urais wa Chama hicho, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini Mikoani ilionesha August 14 2015 ataanzia Mbeya, August 15 ni Arusha, August 16 ni Mwanza na atamalizia Zanzibar August 17 2015.
Tayari Mgombea huyo wa Urais katua Mbeya na hapa ninazo pichaz ambazo nimesogezewa na watu wangu walioko Mbeya kuonesha hali ilivyokuwa.
IMG_4235
Hawa ni Vijana wa Red Brigade, wanaohusika na Ulinzi na Usalama CHADEMA.
IMG_4240
IMG_4241
Hii ilikuwa wakati msafara wa Mgombea huyo Urais unasubiriwa.
IMG_4242
IMG_4243
IMG_4244
IMG_4262
Hapa ni eneo la Uwanja ambapo Mgombea huyo Urais akiwa na baaadhi wa Viongozi wa UKAWA ameongea na Wananchi wa Mbeya.
IMG_4263
Hii ni sehemu ya watu waliojitokeza kwenye Mkutanio wa CHADEMA Mbeya.
CMYFSvaWwAEViRe
Mbuzi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Ujerumani yanyakua Kombe la nne la Dunia

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA

HILI NDILO BIFU KUBWA KATI YA RIHANA NA NICK MINAJ.