UKAWA KIMENUKA:..JAMES MBATIA AKIONA CHA MOTO MWANZA HAPATOSHI


Viongozi wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mwanza inasemekana wamejiuzuli uongozi ndani ya chama chao kwa madai ya M/kiti wa chama hicho James Mbatia kukidhohofisha chama kilichokuwa na wabunge wanne na sasa kina mbunge mmoja.
Waliojiuzulu inasemekana ni Kamishina wa mkoa Ramadhan Amran, M/kiti wa jimbo la Nyamagana na Ilemela na Kiongozi wa vijana Nicolas Clinton.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA