BREAKING NEWS : RAIS MAGUFULI AFUTA SHEREHE ZA UHURU MWAKA HUU

Sherehe hizi ni moja ya sherehe zinazotumia hela nyingi na maonesho yasiyokuwa na maana kama kuvunja mawe kwa vichwa
Badala yake siku hiyo itatumika kwa kufanya usafi ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindu pindu
Sasa wale wazee wa ten percent tumejipanga mwaka huu mtaikoma na bado.
Maoni
Chapisha Maoni