EMIRATES WAIONJA JOTO YA JIWE FUMUA FUMUA YA RAIS DR. MAGUFULI SOMA HAPA HABARI KAMILI
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Fumua
fumua yamabadiliko ya Rais Dr. Magufuli hatimaye imewakumba Shirika la
Ndege la Emirates ambalo sasa limepunguza safari zake za kuja Bongo
kutokana na agizo la Magufuli la Maofisa wa Serikali kutosafiri nje ya
bongo bila ya ruhusa maalum.
Maoni
Chapisha Maoni