BREAKING NEWS: UKAWA WAMTANGAZA MGOMBEA USPIKA NA NAIBU SPIKA

UKAWA wamsimamisha Mh. Goodluck Ole Medeye kugombea nafasi ya spika wa Bunge la Tanzania na Bi.Magdalena Sakaya amesimamishwa kugombea nafasi ya Naibu spika wa Bunge

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

SASA HII NI NGONO BONGO MUVI.... Video ya Irine Uwoya na Rich wakifanya YAO..LIVE

Ndege ya C-130: Mabaki yake yapatikana yakiolea katika maji Chile