NAPE ALIVYOLIPUKA BUNGENI LEO
Katika
kipindi cha kuuliza maswali kwa wagombea nafasi za Upika,Mbunge mpya wa
jimbo la Mtama Nape Nnauye aliyeuliza swali lilotafsiriwa na wabunge
kuwa ni la kejeli na vijembe hali iliyomfanya mwenyekiti wa muda wa
kikao Adrew Chenge kusema kuwa Swali la NAPE siyo Swali.Hata Ole Medeye
wa chamdema alipopata nafasi alisema kuwa kinachomsumbua Nape ni utoto!
Hali ilikuwa hivi:
Nape: Nakushukuru, naitwa Nape mbunge wa Mtama. Kumbukumbu zinaonyesha ulishawahi kutolewa na ndugu Lema una tuhuma za ubaguzi, sijui tabia hizo umeshaa
Hali ilikuwa hivi:
Nape: Nakushukuru, naitwa Nape mbunge wa Mtama. Kumbukumbu zinaonyesha ulishawahi kutolewa na ndugu Lema una tuhuma za ubaguzi, sijui tabia hizo umeshaa
Maoni
Chapisha Maoni