WASIRA AMESEMA ...TOKEA ATANGAZE NIA ANAKULA SANA ZAIDI YA UWEZO WAKE ...KWANI NJAA UUMA KILA WAKATI

Ikiwa yamebaki masaa machache mchakato wa chuja chuja Mh Steven Wasira amedai anakula kuliko kawaida na kulala ipasavyo hana tatizo la kukosa  usingizi,Ametoa dodoso hilo alipo ulizwa swali na mwandishi wa habari nguli wa Azam tv Chalz Hilaly.Hana hofu juu ya mchakato huo anaamini viongozi watasimamia maadili na kufata sheria.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA