KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM CHAANJA JIONI HII MJINI DODOMA KUSAKA TANO BORA YA WAGOMBEA
0
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza
Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi
wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia
majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM,
ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,
Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Mzee Phillip
Mangula (kulia) pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman
Kinana.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, DODOMA.
Maoni
Chapisha Maoni