KIKAO CHA KAMATI KUU; 5 BORA NA 3 BORA, MHE. NCHIMBI, ADAMU KIMBISA NA SOPHIA SIMBA MMH! SOMA HAPA.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akiongea
na waaandishi wa habari mara baada ya kutoka kikao cha Kamati kuu.
Akisistiza jambo...
Mhe. Emmanuel Nchimbi akitangaza mbele ya wanahabari kutangaza kutoridhishwa na maamuzi yao.
Mama Sophia Simba akizongwa na wanahabari juu ya Kamati Kuu. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA.
----
Hali
si hali ndani ya Makao Makuu baada ya wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu
uliomalizika usiku huu kushindwa kufikia maamuzi ya 5 bora na baadae 3
bora.
Kutoelewana
huko kumetokana na wajumbe wakati wa Kamati Kuu ilichokuwa ikiendeshwa
na Mwenyetiki wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete kushindwa kuazimia maamuzi
yaliyokuwa yameletwa.
Kwa mujibu wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho
Nape,
alisema kila kitu kitajulikana asubuhi ya Julai 12, 2015 huku wajumbe
wwatau wa Kamati hiyo, Mhe. Nchimbi, Adamu Kimbisa na Sophia Simba
kukataa maamuzi hao.
Mhe.
Nchimbi akiongea na waandishi alisema wao wamekataa kuafiki kwa vile
wamekiuka kanuni kwa kuleta majina machache ili yaweze kijadiliwa jambo
ambalo si sawa.
BOFYA HAPA KUONA VIDEO NCHIMBI AKIGOMEA MAJINA YALIOPITISHWA NA KAMATI KUU
BOFYA HAPA KUONA VIDEO NCHIMBI AKIGOMEA MAJINA YALIOPITISHWA NA KAMATI KUU
Maoni
Chapisha Maoni