NAPE AMRUSHIA KOMBORA LOWASSA , ASEMA CCM IMEWEZA KUYAZUIA MAFURIKO KWA MIKONO
Chama
Cha Mapinduzi (CCM), kimejigamba kwamba kimeweza kuzuia ‘mafuriko’ kwa
mikono huku kikiwatakia kila la kheri baadhi ya makada wake waliotangaza
kutogombea kupitia chama hicho pamoja na wale waliokihama na wanaotaka
kukihama.Mwishoni mwa wiki iliyopita waliokuwa madiwani jimbo la Monduli
kupitia CCM mkoani Arusha, walitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema), huku wabunge wa viti maalum, Ester Bulaya na
James Lembeli aliyekuwa Mbunge wa Kahama wakitangaza kutogombea kupitia
chama hicho
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akizungumza na mtandao huu jana alisema CCM hakina uwezo wa kuzuia mtu anayetaka kukihama kwa sababu hiyo ndiyo demokrasia.
BOFYA KUSOMA YOTE
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akizungumza na mtandao huu jana alisema CCM hakina uwezo wa kuzuia mtu anayetaka kukihama kwa sababu hiyo ndiyo demokrasia.
BOFYA KUSOMA YOTE
Maoni
Chapisha Maoni