Lowassa: CCM sio baba yangu wala mama yangu…Hotuba yote ya Lowassa iko hapa SIKILIZA YOTE HAPA NA DOWNLOAD
Baada ya jina lake kukatwa katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni huko mjini Dodoma, Leo UKAWA wamempokea Rasmi Lowassa katika chama cha CHADEMA na amechukua kadi ya chama cha CHADEMA leo hii akiwa yeye na mke wake.
Katika hotuba yake Lowassa ameongea mambo mengi sana, Lowassa kasema kuwa CCM sio baba yake wala mama yake hivyo haoni sababu ya kukihama chama hicho, Isikilize hotuba yake yote hapa chini
http://www.hulkshare.com/thechoicetanzania/hotuba-nzima-ya-lowassa-akikaribishwa-ukawa-the-choice
Maoni
Chapisha Maoni