NAPE NNAUYE AMSALITI BERNARD MEMBE.
Katibu wa
 uwenezi na itikadi wa CCM Nape Nnauye amsaliti Bernard Membe baada ya 
kuandika maneno yakionesha hakuna atakayekatwa.Nape alitambulishwa kwa 
wazee wa jimbo la Lindi kama mrithi wa kiti cha ubunge wa jimbo hilo.
 


 
Maoni
Chapisha Maoni