MAJUTO ADAI KUSHOBOKEWA NA ‘VIBINTI’





Brighton Masalu

STAA mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe.
Staa mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’.
Akichezesha taya na Amani, Mzee Majuto ambaye kifani ni bingwa wa komedi alisema, kutokana na kazi yake ya uigizaji imemfanya kuzimikiwa haswa na mabinti.
“Sijawahi kumshobokea binti yoyote ila wenyewe ndiyo huwa wananishobokea kutokana na uigizaji wangu,” alisema Mzee…

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA