Picha HUYU NDO : . Nyangumi mwenye ‘Futi 40’ avuliwa India.CHEKI ALIVYO MKUBWA
Nyangumi mkubwa anayesadikika kufia majini siku 3 kabla ya
kuvuliwa, amepatikana mjini Mumbai nchini India katika ufukwe wa Juhu.
Nyangumi huyo mwenye urefu wa futi 40, alipatikana tarehe 31 mwezi wa kwanza 2016.
Mnyama huyu inasemekana ndiyo mnyama wa majini kuvuliwa akiwa na kilo nyingi katika nchi hiyo

Maoni
Chapisha Maoni