Breaking News.....Watuhumiwa 9 walio tungua HELKOPTA wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu wakiwa na bunduki 27
Watuhumiwa 9 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu wakiwa na bunduki 32 pamoja na meno matatu ya Tembo. ..
Watuhumiwa walihusika kumuua Rubani wa Helicopter ya Mwiba. ...
Mmoja alikamatwa akafanikisha wengine 8
Watuhumiwa walihusika kumuua Rubani wa Helicopter ya Mwiba. ...
Maoni
Chapisha Maoni