PETER P SQUARE AKUTANA NA WACHEZAJI WA CHELSEA.
Peter wa kundi la P Square
ni shabiki mkubwa wa club ya Chelsea na aliwahi kuwa kwenye academy moja
na John Mikel Obi miaka 20 iliyopita wakiwa na ndoto za kucheza soka
siku moja.
Peter alisafiri hadi
England kwenda kucheki mechi ya Chelsea Vs United na kuishuhudia club
yake ikitoka sare ya 1-1.Baada ya mechi alitumia muda wake kukutanana
mastaa mbalimbali wa Chelsea.
Pia kuna habari kwamba
Peter anataka kufungua kampuni kwa ajili ya kusimamia wachezaji soka.
Peter ame-tease habari hiyo kwa kutumia hashtags za kwenye post yake
ambapo ameitaja kampuni hiyo kwa jina na P Classic Football Management
(PCFM)
Maoni
Chapisha Maoni