HII NDO JEURI YA PESA ...Chameleone anunua viatu ‘pea 2’ vyenye thamani ya shilingi milioni 20 za Kibongo.

Jose Chameleone ni msanii wa Uganda, anayewekwa kwenye kundi la wasanii wenye ‘mkwanja’ mrefu Afrika Mashariki.
Mkali huyu juzi kupitia akaunti zake za Instagram na Facebook, ameweka picha za raba zake alizo nunua za Nike Air Mag zenye thamani ya dola za Kimarekani 9000 hadi 12500 sawa na shilingi milioni 20 za Kitanzania

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Abu Bakr al-Baghdadi: Nguo ya ndani ya kiongozi wa IS 'iliibiwa' kufanya uchunguzi wa DNA