UMEMWONA MASANJA MKANDAMIZAJI ALIVYOJIACHIA NA HUYU KIMWANA, KATIKA HARUSI YA PRODUSA MAN WALTER
Producer
Man Maji Man Water ambalo jina lake kamili ni John Vomo Shariza Siku ya
Jumamosi tarehe 21 Septemba 2014 katika kanisa la KLPT Kigamboni jijini
Dar es salaam alifunga ndoa na mke wake aliyejulikana kwa jina Matilda
Jimmy Igoti katika ukumbi wa Karimjee Hall jijini Dar es salaam,Zitazame
picha za kilichojiri kwenye hafla hiyo
Maoni
Chapisha Maoni