BREAKING NEWS!AJALIII..PICHA INATISHAAA....AJALI MBAYAAA YA BASI YAUA TABORA ..YANI INATISHAAAA...BASI LA AIR BUS
Ajali nyingine mbaya; Basi la abiria linalofanya safari zake
kati ya Dar es salaam na Tabora limepata ajali mbaya mchana wa leo katika eneo
la Kiegeya Gairo na kupelekea zaidi ya watu 08 kudaiwa kupoteza uhai/ Maisha
huku wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya sana.
Ni majonzi makubwa yametawala katika eneo hilo hivi sasa,
huku juhudi za kuokoa miili na majeruhi zikiendelea kama inavyoonekana pichani.
Ni siku tatu tu tokea Bus la J4 kugongana na Bus la Mwanza
Coach maeneo ya Sabasaba huko Musoma Mkoani Mara. Tujihoji tatizo ni Magari
mabovu, Mawenge ya Madreva hawana taaluma stahiki, ama tatizo ni nini?
Maoni
Chapisha Maoni