|
Uchaguzi
wa viongozi wakuu wa chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA
umemalizika hapa katika ukumbi wa mliman city ambapo mwenyekiti wake
FREMAN MBOWE ameshinda tena kiti hicho kwa kishindo na kutangazwa kuwa
mwenyekiti mpya wa chama hicho kwa miaka mingine mitano
maotokeo ni kama ifuatavyo NAFASI YA UENYEKITI--- FREMAN MBOWE---KURA --789 GAMBARANYERE MWANGATEKA---KURA--20
NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI BARA PROFESA ABDALA SAFARI---KURA--775
NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI ZANZIBAR SAID ISSA MOHAMED---KURA--645 HAMAD MUSSA YUSUPH--163 Hivyo
aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo ALEX KISURURA amemtangaza mh
FREMAN MBOWE kuwa mwenyekiti huku PROFESA SAFARI akichukua nafasi ya
makamu mwenyekiti upande wa bara na SAID ISSA MOHAMED kuchukua nafasi ya
makamu mwenyekiti upande wa zanzibar.
CHINI KUNA PICHA ZA BAADA YA USHINDI
|
ASANTE KWA KUPATA HUDUMA ZETU,TUNAKUOMBA BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK
Maoni
Chapisha Maoni