BREAKING NEWS! ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DCM MBAGALA
Askari
wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 Cpl
Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa
katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi
Tatu, leo asubuhi.
Habari
zinasema kuwa baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika
hospitali ya Temeke na baadaye kuhamishiwa hospitali ya Muhimbili na
hali yake inaendelea vizur
Maoni
Chapisha Maoni