Sipendi Wanaume Wanene au Wenye vitambi, Hawana Lolote Kitandani: Irene Uwoya
Uwoya |
kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza na Swahiliworldplanet jana kilisema "Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua Uwoya , yeye hana time nao sio type yake, yeye anapenda wanaume wenye vifua vya mazoezi na wasio na vitambi ndiyo rahisi kunasa penzi lake, yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita kwa sita" kilisema chanzo hicho huku kikiangua kicheko cha aibu.
Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia hilo lakini takribani mwezi sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi
Maoni
Chapisha Maoni