TAZAMA PICHA 5::HAWA NDI MABINTI WAZURIIII SANA AMBAO NI WATOTO WA MARAIS WA KENYA,UGANDA,RWANDA NA ZIMBABWE
SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti AngePaul Kagame Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine. Faith Sakwe Jonathan Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na mitandao kwamba ni mrembo. Nyepudzayi Bona Mugabe Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni Sifa Joseph Kabila Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu. Ngina Uhuru Kenyatta Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa...