WOLPER HATIMAYE AKUBALI KUPOSWA
BAADA
ya msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga kutangaza nia ya kutaka
kumposa mwigizaji Jacqueline Wolper, staa huyo ameibuka na kumjibu kuwa
na yeye yupo tayari kama ataweza kutimiza masharti.
Mwigizaji wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper akipozi na Manaiki. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema katika mila za Kiafrika, posa haikataliwi, inatolewa na kisha inajadiliwa kwa hiyo kama Manaiki kajipanga, apeleke posa ikajadiliwe na wazee wake.
“Nimesikia habari za Manaiki kutaka kuniposa nikacheka sana kwa sababu yeye kama yupo tayari apeleke posa itapokelewa kwani siku zote vigezo na masharti huzingatiwa, afuate utaratibu tu,” alisema Wolper.

ASANTE KWA KUPATA HUDUMA ZETU,TUNAKUOMBA BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK
Maoni
Chapisha Maoni