DUNIA INA MAMBO...!! HUYU KAAMUA KUINGIA NA SHELA LA HARUSI MITAANI…KISA NI WAZAZI WAKE
Mwanamke mmoja nchini Misri ameamua kukatiza na gauni la arusi mitaani kupinga masimango anayokutana nayo kwa kuchelewa kuolewa.
Samah Hamdi mwenye
miaka 27 alifikia uamuzi huo baada ya kuchoshwa na kashfa kutoka kwa
watu wanaomzunguka ikiwemo familia yake hasa mama yake mzazi ambao
wamekua wakimsema kutokana na kutokua na mume mpaka sasa.
Maoni
Chapisha Maoni