Huyu ndie Star kutoka South Afrika anayetoka na wema Sepetu kwa sasa....Wema Afunguka
Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20,
story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya
kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo
Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini, Ally Daxx.
Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza
kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wemaamekataa kuwa na uhusiano
na mwanamitindo huyo.
Maoni
Chapisha Maoni