SIKU ZA DIAMOND KUWA NA ZARI ZINAHESABIKA
Licha ya vyombo vya habari Tanzania kuyapalilia mapenzi ya wawili hao, hali ni tofauti nchini Uganda ambako mapaparazi wamekuwa wakiibua mambo ya sirini ya msanii na mwanamama huyo tajiri nchini humo.
Kikubwa kinachozungumziwa ni kuhusu tabia ya Zari kutoka na wanaume tofauti. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wa Zari ametangaza dau la Dola 40,000 kwa Diamond ili amwache dada huyo
Maoni
Chapisha Maoni